Mpya

Gamondi atua Msimbazi, ateta na Barker, CEO

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Sep 2026
Gamondi atua Msimbazi, ateta na Barker, CEO

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Miguel Gamondi, ameongozana na maafisa wa benchi la ufundi pamoja na viongozi wa TFF katika ziara ya Simba SC, ikiwa ni sehemu ya kujenga na kuimarisha ushirikiano kati ya klabu hiyo na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), hususan katika masuala yanayohusu Timu za Taifa.

Ziara hiyo inalenga kuimarisha Mawasiliano na mahusiano kati ya Simba na TFF, ili pande hizo ziweze kufanya kazi kwa pamoja kwa manufaa ya Taifa Stars.

Gamondi ndiye Kocha Mkuu wa Taifa Stars, huku TFF ikiendelea kumshirikisha pamoja na benchi lake la ufundi katika mipango na maandalizi ya timu ya taifa.

More Stories

Karibu Azam Complex kwenye show za Libasse Gueye
Karibu Azam Complex kwenye show za Libasse Gueye
30m ago
READ MORE β†’
Mzizima Derby; Azam Fc vs Simba leo
Mzizima Derby; Azam Fc vs Simba leo
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Septemba 16 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Septemba 16 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Azam Fc yamekamlika
Maandalizi ya kuikabili Azam Fc yamekamlika
15h ago
READ MORE β†’
Hatuhitaji kupoteza mchezo dhidi ya Azam Fc - Barker
Hatuhitaji kupoteza mchezo dhidi ya Azam Fc - Barker
1d ago
READ MORE β†’
Mzizima Derby haijawahi kuwa nyepesi
Mzizima Derby haijawahi kuwa nyepesi
1d ago
READ MORE β†’
Kituo kinachofuata ni MZIZIMA DERBY
Kituo kinachofuata ni MZIZIMA DERBY
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Septemba 15 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Septemba 15 2026
1d ago
READ MORE β†’
Doumbia bado kidogo, Mgunda akosha mashabiki
Doumbia bado kidogo, Mgunda akosha mashabiki
1d ago
READ MORE β†’
Tulitaka kutuma ujumbe Afrika - Ahmed
Tulitaka kutuma ujumbe Afrika - Ahmed
1d ago
READ MORE β†’