BIG SCREEN iko Mwembeyanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5h ago
BIG SCREEN iko Mwembeyanga

Mashabiki wa klabu ya Simba SC leo Jumatano watakutana katika viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es Salaam, kushuhudia "Big Screen" lililoandaliwa na wadhamini wao wakuu Betways.

Tukio hili limeandaliwa maalum kama sehemu ya maandalizi ya burudani (Pre-match event) kuelekea mtanange wa kukata na shoka wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League), ambapo 15 de Agosto ya Equatorial Guinea itavaana na Simba SC katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Ili kunogesha burudani na kupandisha mzuka wa mashabiki kuelekea mechi hiyo ya kimataifa, yataoneshwa marudio ya Dabi ya Kariakoo ya Ligi Kuu iliyopigwa Oktoba 10, 2026. Mashabiki walipata fursa ya kushuhudia tena namna Wekundu wa Msimbazi walivyoibuka na ushindi wa kihistoria wa mabao 2-1 dhidi ya wapinzani wao wa jadi, Yanga SC, shukrani kwa mabao ya Neo Maema na Elie Mpanzu.

Baada ya burudani hiyo ya dabi, macho na masikio yote yanahamia katika Uwanja wa Uhuru ambapo mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya kufuzu hatua ya makundi itapigwa.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Kikosi : 15 de Agosto vs Simba, CAFCL R1
Kikosi : 15 de Agosto vs Simba, CAFCL R1
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; 15 de Agosto vs Simba, CAFCL R1
Matchday; 15 de Agosto vs Simba, CAFCL R1
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 21 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 21 2026
9h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili 15 de Agosto yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili 15 de Agosto yamekamilika
20h ago
READ MORE β†’
15 de Agosti waruhusu mashabiki
15 de Agosti waruhusu mashabiki
1d ago
READ MORE β†’
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
1d ago
READ MORE β†’
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
1d ago
READ MORE β†’
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
1d ago
READ MORE β†’
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
2d ago
READ MORE β†’