Ubingwa CAFCL inawezekana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3h ago
Ubingwa CAFCL inawezekana

Unaweza kusema katika msimu ambao historia inapaswa kuandikwa vyema kwa taji la ligi ya mabingwa (CAFCL) kutua Tanzania basi ni msimu huu.

Ni msimu ambao matumaini ya mashabiki wa Simba yako juu kutokana na kile kinachoonyeshwa na timu yao.

Lakini pia ni msimu ambao unaweza kusema baadhi ya vigogo 'wako unga' huku wengine wakikosekana kabisa baada ya kushindwa kufuzu.

Mabingwa wa kihistoria Al Ahly wako kombe la Shirikisho kama ilivyo kwa Raja CA na AS FAR ambayo msimu uliopita ilicheza fainali ya ligi ya mabingwa (CAFCL).

Jana mshtuko ukashuhudiwa baada ya mabingwa watetezi Mamelodi Sundowns kutupwa nje ya michuano hiyo n Wiliete Sc ya Angola.

Sundowns walilazimishwa sare ya bao 1-1 nyumbani baada ya suluhu ya bila kufungana Angola.

Kuondoshwa kwa Sundowns kunafanya vigogo waliobaki Poti 1 ni Esperance, RS Berkane, Zamalek na Pyramids ambao wamenufaka kuingia Poti 1 baada ya Sundowns kutolewa.

Katika ranking mpya baada ya matokeo ya jana , Simba iko nafasi ya 6 nyuma ya Al Hilal huku Pyramids wakisogea nafasi ya nne. Kama Esperance, Berkane na Zamalek zitafuzu, maana yake ni kuwa Simba itakutana na moja kati ya timu hizo pamoja na Pyramids kwenye makundi.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumamosi, Oktoba 24 2026
Magazeti ya leo Jumamosi, Oktoba 24 2026
6h ago
READ MORE β†’
Simba uhakika Pot 2 makundi CAFCL
Simba uhakika Pot 2 makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Doumbia awashukuru mashabiki wa Simba kwa uvumilivu, asema kazi ndiyo imeanza
Doumbia awashukuru mashabiki wa Simba kwa uvumilivu, asema kazi ndiyo imeanza
1d ago
READ MORE β†’
Kisa mashabiki: Simba yatozwa faini ya Sh Milioni 15
Kisa mashabiki: Simba yatozwa faini ya Sh Milioni 15
1d ago
READ MORE β†’
Simba yajivunia rekodi ya kibabe CAFCL
Simba yajivunia rekodi ya kibabe CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 23 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 23 2026
1d ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza viingilio vya mchezo wa marudiano dhidi ya 15 de Agosto
Simba yatangaza viingilio vya mchezo wa marudiano dhidi ya 15 de Agosto
1d ago
READ MORE β†’
Doumbia atakuwa bora zaidi - Barker
Doumbia atakuwa bora zaidi - Barker
2d ago
READ MORE β†’
Chilambo labda nafasi ya kipa tu ndio hachezi
Chilambo labda nafasi ya kipa tu ndio hachezi
2d ago
READ MORE β†’
Highlights : 15 de Agosto 1-6 Simba, CAFCL (FT)
Highlights : 15 de Agosto 1-6 Simba, CAFCL (FT)
2d ago
READ MORE β†’