Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13h ago
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha

Kikosi cha Simba kimeweka kambi ya muda mfupi Arusha kabla ya kuelekea Manyara ambako mchezo wa ligi kuu dhidi ya Fountain Gate utapigwa.

Vinara hao wa ligi kuu ya NBC wakiwa na rekodi ya ushindi wa asilimia 100, wamepania kuendeleza ubabe wao mbele ya Fountain Gate katika mchezo utakaopigwa Alhamisi, Oktoba 29.

Simba inatarajiwa kuelekea Manyara mapema Jumatano tayari kwa mchezo huo utakaopigwa uwanja wa Tanzanite Kwaraa.

Msimu huu Simba imeonyesha dhamira mapema ya kutaka ubingwa wa ligi kuu baada ya kuukosa kwa misimu mitano.

Huenda mashabiki na wanachama wa Simba wakashangilia ubingwa mapema kutokana na mwendendo unaoonyeshwa na timu yao.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’