Droo ya hatua ya makundi ligi ya mabingwa (CACL) imefanyika leo Cairo ambapo Simba imepangwa kundi C. Kwa mujibu wa ratiba ya mechi za makundi, Simba itaanzia nyumbani mechi ya kwanza na pia kumaliza nyumbani mechi ya mwisho.
Mnyama atafungua hatua ya makundi kwa mchezo dhidi ya Orlando Pirates mwishoni mwa mwezi Novemba 2026 kisha kusafiri Cameroon kuikabili Colombe na baadae kuelekea Morocco kuikabili RS Berkane.
Hii hapa ratiba kamili;

ADVERTISE HERE