Barker, Mpanzu watwaa tuzo za ligi kuu Oktoba 2026

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1d ago
Barker, Mpanzu watwaa tuzo za ligi kuu Oktoba 2026

Kiungo mshambuliaji wa Simba Elie Mpanzu ameibuka kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi Oktoba 2026 akiwashinda Idi Nado wa Azam Fc na Nathaniel Chilambo wa Simba.

Mpanzu alifunga mabao matatu katika mechi tatu alizocheza ambazo Simba ilifanikiwa kushinda zote.

Aidha tuzo ya kocha bora wa mwezi imekwenda kwa mkufunzi wa Simba Steve Barker akitwaa tuzo hiyo baada ya kuiongoza Simba kushinda mechi zote za ligi mwezi Oktoba.

Katika hatua nyingine, Hassan Mubiru wa Azam FC, Elie Mpanzu wa Simba na Selemani Bwenzi wa Simba wameteuliwa kuwania Tuzo ya Bao Bora la Mwezi Oktoba.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Kuna rekodi ya maisha Barker anaiweka Msimbazi
Kuna rekodi ya maisha Barker anaiweka Msimbazi
1h ago
READ MORE β†’
Ratiba ya Simba kufunga mwaka 2026
Ratiba ya Simba kufunga mwaka 2026
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Novemba 06 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Novemba 06 2026
6h ago
READ MORE β†’
Nindi ana walimu wazuri Simba, atakuwa beki bora
Nindi ana walimu wazuri Simba, atakuwa beki bora
20h ago
READ MORE β†’
Wachezaji Simba wapewa mapumziko, kurejea Novemba 09
Wachezaji Simba wapewa mapumziko, kurejea Novemba 09
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi Novemba 05 2026
Magazeti ya leo Alhamisi Novemba 05 2026
1d ago
READ MORE β†’
Doumbia ajumuishwa timu ya Taifa ya Mali
Doumbia ajumuishwa timu ya Taifa ya Mali
1d ago
READ MORE β†’
Doumbia, Keletso, Morice ni silaha za siri za Barker
Doumbia, Keletso, Morice ni silaha za siri za Barker
1d ago
READ MORE β†’
Toure ndio Waziri wa ulinzi pale Msimbazi
Toure ndio Waziri wa ulinzi pale Msimbazi
2d ago
READ MORE β†’
Simba yaomba kutumia uwanja wa New Amaan Complex makundi CAFCL
Simba yaomba kutumia uwanja wa New Amaan Complex makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’