Simba kurejea mazoezini kuanza mawindo ya JKT Tanzania

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
59m ago
Simba kurejea mazoezini kuanza mawindo ya JKT Tanzania

Baada ya mapumziko ya wiki moja, kikosi cha Simba leo kinatarajiwa kurejea mazoezini kuanza maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania na mechi zitakazofuata baada ya mapumziko ya kalenda ya FIFA.

Kwa mujibu wa ratiba, baada ya kalenda ya FIFA, Simba itaanza na JKT Tanzania Novemba 21 na kisha kufuatiwa na mchezo dhidi ya Polisi Tanzania kabla ya kuanza rasmi kampeni ya hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika (CAFCL).

Kocha Mkuu wa Simba Steve Barker anarejea mazoezini na vijana wake huku dhamira ikiwa moja tu kuendeleza ubabe katika mashindano yote.

Simba ilikwenda mapumziko ya FIFA ikiwa na rekodi ya aina yake ikishinda mechi zote 10 za kwanza na kufikisha alama 30 kwenye ligi.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Kesi ya Simba dhidi ya Fadlu Davids haikufunguliwa leo
Kesi ya Simba dhidi ya Fadlu Davids haikufunguliwa leo
44m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Novemba 09 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Novemba 09 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kapombe bado anajitafuta, kazini kwake kuna kazi
Kapombe bado anajitafuta, kazini kwake kuna kazi
20h ago
READ MORE β†’
Kuna mkakati mzito wa maboresho dirisha dogo
Kuna mkakati mzito wa maboresho dirisha dogo
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumapili, Novemba 08 2026
Magazeti ya leo Jumapili, Novemba 08 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker afafanua mapumziko ya wachezaji, apania kuendeleza ubabe baada ya FIFA break
Barker afafanua mapumziko ya wachezaji, apania kuendeleza ubabe baada ya FIFA break
1d ago
READ MORE β†’
Simba kurudi Uhuru CAFCL, ni baada ya CAF kuidhinisha
Simba kurudi Uhuru CAFCL, ni baada ya CAF kuidhinisha
2d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumamosi, Novemba 07 2026
Magazeti ya leo Jumamosi, Novemba 07 2026
2d ago
READ MORE β†’
TFF yaweka hadharani ratiba ya uchaguzi Simba
TFF yaweka hadharani ratiba ya uchaguzi Simba
2d ago
READ MORE β†’
Hapo kwenye asisti Gueye ameshindikana
Hapo kwenye asisti Gueye ameshindikana
2d ago
READ MORE β†’