Hii ni rekodi hata TFF wanaitambua

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10h ago
Hii ni rekodi hata TFF wanaitambua

Ni rekodi kwa Simba msimu huu kushinda mechi 10 mfululizo ligi kuu ya NBC msimu huu 2026/27.

Mnyama amevuna alama 30 akishusha kipigo kwa kila timu iliyopita mbele yake, hata TFF wametambua rekodi hii.

Rekodi hii haijaanza msimu huu tu, Simba ilimaliza msimu uliopita pia ikishinda mechi 10 mfululizo na hivyo kufanya Wekundu hao wa Msimbazi kukusanya alama 60 katika mechi 20 za ligi kuu mfululizo!

Sterling wa shoo hiyo ni Steve Barker ambaye tangu atue Msimbazi hajawahi kupoteza mchezo wowote wa ligi. Barker ana mechi 35 kwenye usukani na hajafungwa mchezo wowote. 

Ama kwa hakika huu unaweza kuwa msimu wa kihistoria kwa Simba kwani dalili njema zimeonekana mapema...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba tumetoa somo kuhusu masuala ya mikataba - Ahmed Ali
Simba tumetoa somo kuhusu masuala ya mikataba - Ahmed Ali
46m ago
READ MORE β†’
Kesi ya Simba dhidi ya Fadlu Davids haikufunguliwa leo
Kesi ya Simba dhidi ya Fadlu Davids haikufunguliwa leo
13h ago
READ MORE β†’
Simba kurejea mazoezini kuanza mawindo ya JKT Tanzania
Simba kurejea mazoezini kuanza mawindo ya JKT Tanzania
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Novemba 09 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Novemba 09 2026
14h ago
READ MORE β†’
Kapombe bado anajitafuta, kazini kwake kuna kazi
Kapombe bado anajitafuta, kazini kwake kuna kazi
1d ago
READ MORE β†’
Kuna mkakati mzito wa maboresho dirisha dogo
Kuna mkakati mzito wa maboresho dirisha dogo
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumapili, Novemba 08 2026
Magazeti ya leo Jumapili, Novemba 08 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker afafanua mapumziko ya wachezaji, apania kuendeleza ubabe baada ya FIFA break
Barker afafanua mapumziko ya wachezaji, apania kuendeleza ubabe baada ya FIFA break
2d ago
READ MORE β†’
Simba kurudi Uhuru CAFCL, ni baada ya CAF kuidhinisha
Simba kurudi Uhuru CAFCL, ni baada ya CAF kuidhinisha
2d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumamosi, Novemba 07 2026
Magazeti ya leo Jumamosi, Novemba 07 2026
2d ago
READ MORE β†’