Simba kuzindua hamasa kuelekea mchezo dhidi ya Orlando Pirates leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2h ago
Simba kuzindua hamasa kuelekea mchezo dhidi ya Orlando Pirates leo

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali leo anazindua hamasa kuelekea mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa (CAFCL) dhidi ya Orlando Pirates.

Hamasa itazinduliwa rasmi tawi la Simba Jangwani Mafuso kuanzia saa 5 asubuhi.

Mkakati wa Simba ni kuhamasiha mashabiki kununua tiketi zao mapema na kujitokeza kwa wingi uwanja wa Uhuru siku ya Jumapili.

Simba SC Stories

Pirates wawasili Dar
Pirates wawasili Dar
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Novemba 26 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Novemba 26 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kuzishuhudia Simba vs Orlando Pirates kiingilio buku saba
Kuzishuhudia Simba vs Orlando Pirates kiingilio buku saba
19h ago
READ MORE β†’
Deen amerejea kuendeleza alipoishia
Deen amerejea kuendeleza alipoishia
1d ago
READ MORE β†’
Pirates waanza safari kuifuata Simba
Pirates waanza safari kuifuata Simba
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa siri ya Simba kushinda mechi mfululizo
Hii hapa siri ya Simba kushinda mechi mfululizo
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Novemba 25 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Novemba 25 2026
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaomba kuongezwa mashabiki Ligi ya Mabingwa
Simba yaomba kuongezwa mashabiki Ligi ya Mabingwa
1d ago
READ MORE β†’
Libasse amtetea Doumbia, presha ni kubwa dhidi yake
Libasse amtetea Doumbia, presha ni kubwa dhidi yake
2d ago
READ MORE β†’
Hatma ya wagombea wa nafasi za uongozi Simba kufahamika Ijumaa
Hatma ya wagombea wa nafasi za uongozi Simba kufahamika Ijumaa
2d ago
READ MORE β†’