Tottenham - Arsenal - Manchester City

Arsenal wafurahi ushindi wa Spurs dhidi ya Man City

Joel JJ By Joel JJ
β€’
6 Feb 2023
Arsenal wafurahi ushindi wa Spurs dhidi ya Man City

Mbio za ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza zinaendelea kubaki salama kwa Arsenal baada ya wapinzani wao wa karibu Manchester City kuangukia pua kwa kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Tottenham Hotspurs

Ikumbukwe Arsenal walichapwa bao 1-0 dhidi ya Everton katika mechi yao iliyopita hivyo kama Man City angepata ushindi dhidi ya Spurs, wangepunguza gap la pointi kutoka tano kubaki mbili

Lakini sasa Arsenal wanaendelea kubaki kileleni kwa tofauti ya alama tano huku pia wakiwa na mchezo mmoja mkononi

Hata hivyo Arsenal na Manchester City bado hazijacheza mechi zao mbili za ligi

Mechi ya duru ya kwanza haikupigwa mpaka sasa tangu ilipoahirishwa baada ya kifo cha Malkia Elizabeth

Pengine hizi ndio mechi ambazo zitawapa uhakika Arsenal kama msimu huu watashangilia ubingwa baada ya miaka 19 au la

Ushindi wa Spurs unawafanya wasogee karibu na nne bora wakifikisha alama 39, alama moja nyuma ya Newcastle United yenye alama 40

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
2h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
6h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
6h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
7h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
8h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
8h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
9h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
10h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
23h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
23h ago
READ MORE β†’