Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi alikuwepo Stade Ahmed Khouaja, mjini Tunis juzi akishuhudia mchezo wa Ligi Kuu kati ya wapinzani wao US Monastir wakiwa ugenini dhidi ya Rejiche, ambapo walishinda 2-0, mabao yake yakifungwa na Idrissa Mhirsi dakika 10 na Bassam Deli dakika ya 30
..... download Xtra 90 App



