Ihefu

Simkoko atua Ihefu Fc

Joel JJ By Joel JJ
β€’
12 Feb 2023
Simkoko atua Ihefu Fc

Timu ya Ihefu Fc inayosjiriki Ligi Kuu ya NBC imemtangaza John Simkoko kuwa kuwa kocha mkuu wa timu hiyo kuanzia leo Februari 12, 2023.

Simkoko amechukua nafasi ya Juma Mwambusi aliyeachana na timu hiyo baada ya kuitumikia kwa miezi miwili tu.

Taarifa ya Ihefu imeeleza kuwa Simkoko ataungana na benchi la ufundi ili kufanikisha malengo yao.

Kabla ya utambulisho wa Simkoko, Ihefu ilikuwa chini ya Kocha Zuberi Katwila ambaye amekuwa na timu hiyo kwa muda mrefu

Ihefu Fc leo wanacheza na Singida Big Stars katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
3h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
3h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
4h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
7h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
11h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
11h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
12h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
12h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
13h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
14h ago
READ MORE β†’