Simba

Maafisa CAF watua kuikagua Simba tayari kwa Super Cup

Joel JJ By Joel JJ
16 Feb 2023
Maafisa CAF watua kuikagua Simba tayari kwa Super Cup

Michuano ya Super Cup inatarajiwa kuanza mwezi August 2023 wakati huu Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kwa kushirikiana na FIFA wakiendelea na maandalizi ya michuano hiyo

Klabu ya Simba imewapokea maofisa kutoka CAF waliotua kwa ajili ya kufanya ukaguzi wa maandalizi ya michuano hiyo

Simba ni moja ya klabu ambazo zitashiriki michuano hiyo ambayo itafanyika baadae mwaka huu

More Stories

Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa uhuru

51m ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake

54m ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga

1h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2

3h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo

13h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0

Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
14h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba

17h ago
READ MORE →