Yanga

Hersi ashiriki jogging Yanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
18 Feb 2023
Hersi ashiriki jogging Yanga

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said leo alikuwa miongoni mwa viongozi waandamizi wa klabu hiyo walioshiriki jogging iliyoanzia Makao Makuu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam

Ni sehemu ya hamasa kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho ambao Yanga watacheza na TP Mazembe siku ya kesho Jumapili katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Mtendaji Mkuu wa Yanga Andrew Mtine, Mkurigenzi wa Mashabiki na Wanachama Haji Mfikirwa, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Ali Kamwe ni miongoni mwa viongozi wengine wa Yanga walioshiriki jogging hiyo

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
28m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
17h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’