Ghana - Chelsea - Newcastle

Mwili wa Atsu wapatikana

Joel JJ By Joel JJ
β€’
18 Feb 2023
Mwili wa Atsu wapatikana

Mwili wa nyota wa Ghana Christian Atsu umepatikana chini ya jengo alilokuwa akiishi kusini mwa Uturuki baada ya tetemeko kubwa la ardhi wiki iliyopita

Wakala wa mchezaji huyo amethibitisha kupatikana kwa mwili wa nyota huyo wa zamani klabu za Chelsea na Newcastle United

"Mwili wa Atsu ulipatikana chini ya vifusi," Murat Uzunmehmet aliwaambia waandishi wa habari huko Hatay, ambapo mwili wa mwanasoka huyo umepatikana

"Kwa sasa, vitu zaidi bado vinatolewa. Simu yake pia ilipatikana"

Atsu aliahirisha safari yake kwenda Ufaransa saa chache kabla ya tetemeko hilo. Mghana huyo aliamua kusalia na klabu hiyo baada ya kufunga bao la kufutia machozi katika mechi ya Februari 5 ya Super Lig

Awali ilitolewa taarifa ya Atsu kupatikana akiwa hai lakini klabu yake ilikanusha

Zaidi ya watu 35,000 wamepoteza maisha katika tetemeko la ardhi lililozikumba nchi za Syria na Uturuki

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
34m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
46m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’