Manchester United

Sheikh Jassim, Ratcliffe wajitosa kuinunua Man United

Joel JJ By Joel JJ
β€’
18 Feb 2023
Sheikh Jassim, Ratcliffe wajitosa kuinunua Man United

Sheikh Jassim bin Hamad Al Thani, Mwenyekiti wa benki moja kubwa ya Qatar, amethibitisha kuwa taasisi yake itawasilisha ombi la kuinunua klabu ya Manchester United.

Aidha, kulingana na BBC Ineos, inayomilikiwa na Sir Jim Ratcliffe, pia imetuma ofa rasmi kutaka kuinunua Man United 

Bilionea Ratcliffe alikuwa tayari ameeleza nia yake ya kuinunua United baada ya familia ya Glazer, iliyoinunua United mwaka 2005, kuweka wazi mpango wa kuiuza klabu hiyo

Muungano wa Qatar wa Sheikh Jassim ulisema kuwa wamepanga kuirudisha United kwenye hadhi yake ya zamani

Matajiri hao kutoka Qatar wanataka kuwekeza katika timu za mpira wa miguu, kituo cha mazoezi, uwanja na miundombinu, uzoefu wa mashabiki na jamii inayounga mkono klabu

"Maono ya zabuni ni Manchester United kujulikana kwa ubora wa soka, na kuonekana kama klabu kubwa zaidi ya soka duniani," ilisema taarifa ya Sheikh Jassim

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
5h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’