Ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Aston Villa jana uliihakikishia Arsenal kurudi kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Premia
Ni baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Notingham Forest
Arsenal imefikisha alama 54 baada ya mechi 23 wakati Man City wamebaki na alama 52 wakiwa wameshuka dimbani mara 24
Msimu huu Arsenal imejipambanua kuwania ubingwa walioukosa kwa misimu 19
Mpaka sasa dalili ni njema kwa upande wao kwani kama wataendelea kushinda mechi zao basi wanaweza kumaliza ukame huo
ADVERTISE HERE