Yanga

Yanga yaifumua TP Mazembe 3-1

Joel JJ By Joel JJ
β€’
19 Feb 2023
Yanga yaifumua TP Mazembe 3-1

Kuna mwenye swali?. Ushindi mnono wa mabao 3-1 wameupata Yanga dhidi ya TP Mazembe katika mchezo wa kombe la Shirikisho uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Wakiwa katika ubora wa hali ya juu, vijana wa Kocha Nasreddine Nabi walihitaji dakika 11 kufunga mabao mawili kupitia kwa Mudathir Yahya na Kennedy Musonda

Yanga ilitawala mchezo kwa muda mwingi kwenye kipindi cha kwanza huku TP Mazembe wakirejea wakiwa bora zaidi katika kipindi cha pili

Hata hivyo leo safu ya ulinzi ya Yanga ilikuwa bora sana chini ya nahodha Bakari Nondo Mwamnyeto. Bao pekee la Mazembe lilifungwa na Alex Ngonga kupitia mpira wa adhabu

Wakati Mazembe wakitafuta bao la kusawazisha kwenye dakika za majeruhi, Tuisila Kisinda akamaliza shughuli akifunga bao mahiri baada ya pasi kutoka kwa Mayele

Ni alama tatu muhimu kwa Yanga ambazo zinawapeleka mpaka nafasi ya tatu kwenye msimamo wa kundi D huku Wananchi wakiondoka na milioni 15 za Mama na milioni 3 za RC wa Mtwara

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
28m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
17h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’