Newcastle - Chelsea - Ghana

Mazishi ya Atsu kufanyika kijeshi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
23 Feb 2023
Mazishi ya Atsu kufanyika kijeshi

Kulingana na taarifa kutoka Ghana, mazishi ya winga Christian Atsu yanaweza kufanyika kijeshi kama sehemu ya heshima ya taifa hilo kwa winga huyo aliyeifanyia makubwa nchi hiyo kwenye soka.

Mwili wa Atsu, aliyefariki baada ya tetemeko la ardhi kutokea Uturuki wiki mbili zilizopita, ulirudishwa nchini kwao Ghana Jumapili iliyopita.

Ndege iliyobeba mwili huo ilitua mjini Accra mwishoni na jeneza lake likabebwa na wanajeshi wa Ghana.

Atsu alipatikana amefariki Jumamosi iliyopita akiwa amebanwa na ukuta nyumbani kwake kusini mwa Uturuki.

Alikuwa akiichezea klabu ya Hatayspor. Winga huyo aliichezea timu ya Taifa ya Ghana mara 65 na kuisaidia timu yake kufika fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2015.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 pia alichezea klabu za Premier League Chelsea na Newcastle.

Akizungumza katika uwanja wa ndege wa Kotoka katika Mji Mkuu wa Accra, Makamu wa Rais wa Ghana, Mahamudu Bawumia alisema walisali na kuomba Atsu apatikane na alipopatikana hakuwa hai.

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’