Inter Milan - Chelsea

Henry amtetea Lukaku

Joel JJ By Joel JJ
β€’
24 Feb 2023
Henry amtetea Lukaku

Mshambuliaji wa Inter Milan, Romelu Lukaku, anaonekana katika hali nzuri zaidi kuliko hapo awali, kwa mujibu wa kocha msaidizi wake wa zamani wa Ubelgiji, Thierry Henry

Lukaku aliingia akitokea benchi dakika ya 58 dhidi ya Porto juzi kabla ya kupachika bao pekee katika ushindi wa mkondo wa kwanza wa hatua ya 16 bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Mkurugenzi Mtendaji wa Inter Milan, Beppe Marotta, alikuwa ametilia shaka utimamu wa Lukaku alipoiambia Sky Sport fowadi huyo anahitaji kuwa na umbo kamilifu ili aweze kuwa fiti. Lakini Lukaku, anayecheza kwa mkopo Inter akitokea Chelsea, alitoa majibu kamili alipofunga bao pekee dakika ya 86.

"Nina furaha sana kwa Rom," alisema Henry akiiambia CBS Sports.

"Anaonekana fiti zaidi. Nadhani alikatishwa tamaa hakuanza, jibu pekee unaweza kutoa ni uwanjani, na alifanya hivyo"

Mustakabali wa Lukaku bado haujulikani kwani hadi sasa haujaeleweka wakati wa msimu wake wa mkopo wa muda mrefu akiwa na Inter, akifunga mara nne katika mechi 14.

Hata hivyo, kurejea kwake Chelsea muhula uliopita kulikatisha tamaa vile vile

"Tulikuwa na mazungumzo alipokwenda Chelsea, na nikamwambia atapata ugumu kucheza Chelsea"

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
6h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
6h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
10h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
14h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
15h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
16h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
17h ago
READ MORE β†’