Simba yaichapa Vipers Fc 1-0

Joel JJ By Joel JJ
β€’
25 Feb 2023
Simba yaichapa Vipers Fc 1-0

Mnyama ameunguruma uwanja wa St Marry's Kitende nchini Uganda kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya vipers Fc katika mchezo wa ligi ya mabingwa

Alikuwa ni Hennock Inonga Baka aliyefunga bao pekee la Simba kwenye dakika ya 20 akimalizia mpira wa adhabu uliopigwa na Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr'

Simba leo imecheza kwa nidhamu na tahadhari kubwa huku ikiwa hatari kupitia mashambulizi ya haraka

Ulikuwa mchezo ambao Simba ilihitaji ushindi ili kuweka hai matumaini ya kufuzu hatua ya robo fainali ligi ya mabingwa

Alama tatu kibindoni, sasa alama nyingine tatu zinahitajika kwenye mchezo wa marudiano ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa wiki ijayo

ADVERTISE HERE

More Stories

Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
1h ago
READ MORE β†’
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
1h ago
READ MORE β†’
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
2h ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
3h ago
READ MORE β†’
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
4h ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
6h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
8h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
9h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
9h ago
READ MORE β†’
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
11h ago
READ MORE β†’