Chelsea

Potter akubali lawama Chelsea

Joel JJ By Joel JJ
β€’
27 Feb 2023
Potter akubali lawama Chelsea

Kocha Mkuu wa Chelsea Graham Potter amekubali lawama kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu ya Chelsea

Jana Chelsea ilikubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Tottenham Hotspurs ikiwa ni mechi ya sita mfululizo Chelsea wanatoka bila ushindi

Aidha katika mechi 15 zilizopita, Chelsea wameshinda mechi mbili tu

Baada ya kipigo kutoka kwa Spurs, Potter anapaswa kuwajibika kwani amepewa kila alichohitaji kutoka kwa mabosi wa klabu hiyo

"Matokeo sio mazuri kwa Chelsea, nabeba lawama kwa matokeo haya. Haya matokeo zio mazuri kabisa na siwezi kuendelea kutegemea utetezi kutoka kwenye Bodi"

"Naamini wachezaji wangu wamefanya kila wanachostahili kufanya lakini hatupati matokeo tunayostahili na hapa ndipo tatizo linapoanzia," alisema Potter

Katika mechi 27 alizoiongoza Chelsea, Potter ameshinda mechi tisa huku akipotea mechi 10 na mechi nane zikiwa sare

Presha ni kubwa huenda Bodi ya Chelsea ikalazimika kufanya mbadiliko katika nafasi yake pamoja na kuwa awali walionyesha kumuunga mkono

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
4m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
19h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’