Msafara wa kikosi cha Yanga unatarajiwa kuwasili nchini mchana wa leo wakitokea Mali ambako walifanikiwa kupata alama moja muhimu kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Real Bamako katika mchezo uliomalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1
..... download Xtra 90 App



