Singida - DTB

Pluijm alia na safu ya ushambuliaji Singida BS

Joel JJ By Joel JJ
β€’
2 Mar 2023
Pluijm alia na safu ya ushambuliaji Singida BS

Kocha ya kupata bao katika mechi 18 mfululizo iwe kufungwa, sare au kushinda, Kocha mkuu wa Singida Big Stars, Hans Van der Pluijm amesema hajafurahishwa na wingi wa mabao yanayopatikana katika kila mchezo

Singida BS tangu mwaka jana Oktoba 18, ilipofungwa 1-0 na Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Manungu Complex, timu hiyo imecheza mechi 18 na zote ikifunga bao hata kama inakuwa imepoteza mchezo.

Pluijm ambaye ni kocha wa zamani wa Yanga alisema licha ya kufunga kwenye kila mchezo bado anaamini safu yake ya ushambuliaji ni nzuri hivyo wanatakiwa kufunga mabao mengi zaidi

"Kweli tumefunga kila mchezo tangu tupoteze lakini hainifurahishi sana kama kocha kwa sababu tuna washambuliaji wenye uzoefu wa kutosha kufanya zaidi ya sasa, ushindani wa wachezaji uliopo unachangia nao"

 "Tunatengeneza nafasi nyingi zaidi ya mabao ambayo tunafunga, tutaendelea kupambana kuhakikisha tunazifanyia kazi kila nafasi ambazo zinapatikana ndani ya uwanja," alisema Pluijm

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
11h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
11h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
15h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
19h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
21h ago
READ MORE β†’