Feisal akwama tena Kamati ya Sheria TFF

Joel JJ By Joel JJ β€’ 2nd March 2023


Feisal akwama tena Kamati ya Sheria TFF

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetupilia mbali shauri la Mapitio (Review) ya mchezaji Feisal Salum dhidi ya klabu ya Yanga kwa kuwa halina msingi wa kisheria kubadilisha maamuzi ya Kamati hiyo juu ya mkataba wake na Yanga


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.