Real Madrid

Ronaldo, Beckham katika mitindo Ufaransa

Joel JJ By Joel JJ
β€’
5 Mar 2023
Ronaldo, Beckham katika mitindo Ufaransa

Mkongwe wa Brazil Ronaldo de Lima (R9), juzi alikutana na mkongwe wa England David Beckham jijini Paris kwenye maonyesho ya mitindo ya 'Victoria Fashion Show'

Maonyesho hayo ya kifahari yaliandaliwa na mke wa Beckham ambaye pia ni mwanamitindo maarufu Bi.Victoria Beckham.

Katika maonyesho hayo ambayo yalihudhuriwa na watu mbalimbali mashuhuri Ronaldo (46) aliongozana na mchumba wake Celina Locks (32) ambaye ni mfanyabiashara na Mwanamitindo maarufu Kimataifa.

Ronaldo na Beckham walicheza soka pamoja katika klabu ya Real Madrid kati ya mwaka 2003 na 2007

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
1m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
29m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’