Ihefu - Yanga - Geita - Coastal

Yacouba, Mexime washinda tuzo Februari 2023

Joel JJ By Joel JJ
β€’
6 Mar 2023
Yacouba, Mexime washinda tuzo Februari 2023

Mshambuliaji wa Ihefu Fc Yacouba Songne ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi February 2023 wakati Kocha Mkuu wa Kagera Sugar ametwaa tuzo hiyo kwa upande wa makocha

Yacouba aliyefunga mabao mawili na kutoa pasi moja ya bao katika mwezi February, aliwashinda Meddie Kagere wa Singida BS na Elias Maguli wa Geita Gold alioingia nao fainali

Kwa upande wa Mexime, aliwashinda Nasreddine Nabi wa Yanga na Fikirini Elias wa Coastal Union

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
33m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
45m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’