Kagera Sugar

Makame atoweka Kagera Sugar

Joel JJ By Joel JJ
7 Mar 2023
Makame atoweka Kagera Sugar

Taarifa kutoka ndani ya Kagera Sugar zimethibitisha Kuwa kiungo Abdulaziz Makame 'Bui' hajaonekana kambini kwa muda wa miezi miwili na hakuna taarifa yoyote rasmi juu ya alipo mchezaji huyo

Viongozi wa Kagera Sugar walimpa ruhusa ya muda mfupi kwa ajili ya matibabu lakini toka alipoondoka hajarejea na hakuna mawasiliano baina yake na klabu

Taarifa kutoka ndani ya Kagera Sugar zimethibitisha kuwa, uongozi umeamua kusitisha malipo ya stahiki zake kuanzia mwezi huu hadi pale atakapopatikana

Makame alijiunga na Kagera Sugar msimu uliopita akitokea klabu ya Namungo Fc

Kiungo huyo kutoka visiwani Zanzibar pia amewahi kuitumikia klabu ya Yanga

More Stories

Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
1h ago
READ MORE →
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
2h ago
READ MORE →
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
4h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
4h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
5h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
6h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
6h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
6h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
6h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
8h ago
READ MORE →