Chelsea - Borussia Dortmund

Chelsea kupindua meza dhidi ya Dortmund leo?

Joel JJ By Joel JJ
β€’
7 Mar 2023
Chelsea kupindua meza dhidi ya Dortmund leo?

Leo Chelsea Fc itakuwa na kazi ngumu ya kupindua matokeo ya mchezo uliopita wakati timu hiyo itakaporudiana na Dortmund katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa utakaopigwa Stanford Bridge.

Mchezo wa raundi ya kwanza, Chelsea ilipoteza bao 1-0 bao la Karim Adeyemi. Ushindi wao dhidi ya Leeds wikiendi iliyopita huenda ukafufua matumaini ya Chelsea kuelekea mchezo wa leo.

Kuelekea mchezo huo, Reece James, Christian Pulisic huenda wakarejea uwanjani, huku beki Thiago Silva atakosekana kutokana na majeraha. Mason Mount atakosekana baada ya kupokea kadi ya njano.

Dortmund, inayoshika nafasi ya pili kwa tofauti ya mabao nyuma ya Bayern Munich kwenye Bundesliga, inasafiri hadi London ikitaka kuandika ushindi wa 11 mfululizo katika michuano yote, huku Chelsea ikitumai kupata ushindi mfululizo kwa mara ya kwanza tangu Oktoba.

Ili kusonga mbele, vijana wa Graham Potter watalazimika kufunga mabao mawili kwenye mechi kwa mara ya kwanza tangu tarehe 27 Disemba.

Chelsea pia wanaingia kwenye kinyang'anyiro hicho wakiwa wametupwa nje ya vikombe viwili vya nyumbani na wako nafasi ya 10 kwenye Ligi ya Kuu

Ligi ya Mabingwa ni fursa yao pekee ya kushinda taji msimu huu Mchezo mwingine wa Ligi ya Mabingwa utakuwa kati ya Benfica dhidi ya Club Brugge, michezo yote itapigwa saa 5 usiku.

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
4h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
4h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
5h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
8h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
12h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
12h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
13h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
14h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
14h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
15h ago
READ MORE β†’