Mshambuliaji wa Ubelgiji Romelu Lukaku anataka kusalia Inter Milan mkopo wake utakapoisha, lakini klabu hiyo ya Italia haiwezi kumudu mshahara wa sasa wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 hayumo katika mipango ya Graham Potter katika klabu ya Chelsea. (Mail)
..... download Xtra 90 App



