Simba

Chama atajwa tuzo ya wiki CAF

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Mar 2023
Chama atajwa tuzo ya wiki CAF

Kiungo mshambuliaji wa Simba Clatous Chama 'Mwamba wa Lusaka' ametajwa katika kinyang'anyiro cha wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa wiki wa michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika

Chama ameingia katika kinyan'ganyiro hicho baada ya kuonyesha kiwango bora katika mchezo dhidi ya Vipers Fc uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa March 07

Chama alifunga bao pekee la Simba katika mchezo huo ambao Wekundu wa Msimbazi waliweka hai matumaini ya kufuzu robo fainali wakihitaji kushinda mchezo dhidi ya Horoya AC utakaopigwa March 18

Chama anachuana na Ahmad Zizo wa Zamalek, Peter Shalulile wa Mamelod Sundowns na Walid Sabar wa Raja Casablanca

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
3h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
3h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
3h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
7h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
10h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
11h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
12h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
12h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
13h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
14h ago
READ MORE β†’