FIFA

FIFA kuthibitisha muundo kombe la Dunia 2026

Joel JJ By Joel JJ
β€’
14 Mar 2023
FIFA kuthibitisha muundo kombe la Dunia 2026

FIFA inatarajiwa kuthibitisha muundo mpya wa Kombe la Dunia la 2026, na kupanua mashindano hayo hadi michezo 104 kwa muda wa siku 39.

Uamuzi huo utaidhinishwa katika kikao cha Baraza la FIFA leo Jumanne katika mji mkuu wa Rwanda Kigali, ambapo wakuu wa soka duniani wamekusanyika kwa ajili ya kongamano la kila mwaka siku ya Alhamisi

Ikiandaliwa na Kanada, Mexico na Marekani, toleo la 2026 tayari litakuwa Kombe kubwa zaidi la Dunia, lenye timu 48 na litachezwa kwa muda mrefu zaidi

Wazo la awali lilikuwa kuwa na makundi 16 ya timu tatu tatu, mchujo kufanyika kupata timu 32, timu mbili kutoka kundi

Mpangilio huo ungehusisha michezo 80, kutoka kwa mfumo wa michezo 64 ambao FIFA imetumia tangu 1998.

Lakini kuwa na timu tatu kwenye kundi inaweza kupoteza msisimko wa raundi ya mwisho ya michezo ya hatua ya makundi kwa wakati mmoja, na pia inaongeza nafasi ya timu hizo mbili katika mchezo uliopita kushirikiana ili kuandaa matokeo wanayohitaji

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
40m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
52m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’