Simba yamrejesha Dilunga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
14 Mar 2023
Simba yamrejesha Dilunga

Klabu ya Simba imethibitisha kumrejesha kikosini kiungo mshambuliaji Hassan Dilunga 'HD'

Dilunga amekuwa nje kwa muda mrefu akisumbuliwa na majerah. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Simba, Dilunga ameanza mazoezi leo chini ya uangalizi wa daktari kumfanyia tathmini maendeleo yake

Pamoja na kuwa sio sehemu ya wachezaji waliosajiliwa na Simba kwa asili ya msimu huu, Dilunga ataendelea kufanya mazoezi na Simba mpaka mwishoni mwa msimu ambapo kama watajiridhisha yuko fit kwa asilimia 100, atasajiliwa kwa ajili ya kutumika msimu ujao

Hatua hii imepongezwa na Wanamsimbazi ambao wengi walitamani kuona nyota huyo anarejeshwa kikosini licha ya kuwa majeruhi. Dilunga alipata majeraha hayo wakati akiitumikia Simba

ADVERTISE HERE

More Stories

Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
48m ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
3h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
5h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
6h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
6h ago
READ MORE β†’
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
8h ago
READ MORE β†’
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
9h ago
READ MORE β†’
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
9h ago
READ MORE β†’
Hoja tano zinazoweza kuboresha tuzo ya Ballon d’Or
Hoja tano zinazoweza kuboresha tuzo ya Ballon d’Or
21h ago
READ MORE β†’
Samatta katika mtihani mzito: Le Havre ikiikaribisha PSG leo
Samatta katika mtihani mzito: Le Havre ikiikaribisha PSG leo
1d ago
READ MORE β†’