Tottenham haiko tayari kumuuza mshambuliaji wa Uingereza Harry Kane katika msimu wa joto hata kama mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29, ambaye mkataba wake na Spurs unakamilika msimu wa joto 2024, hatasaini mkataba mpya. (Sky Sports)
..... download Xtra 90 App



