Simba

Chama mchezaji bora wa wiki CAF CL

Joel JJ By Joel JJ
β€’
15 Mar 2023
Chama mchezaji bora wa wiki CAF CL

Kiungo mshambuliaji wa Simba Clatous Chama 'Mwamba wa Lusaka' amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki raundi ya nne ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Chama ametwaa tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura kwa wingi akiwashinda Peter Shalulile wa Mamelodi Sundowns, Ahmed Zizo wa Zamalek na Walid Sabbar wa Raja Casablanca

Chama ameibuka mshindi kwa kupata kura zaidi ya asilimia 68 ya kura zote zilizopigwa

Kiungo huyo mahiri pia amejumuishwa kwenye kikosi bora cha wiki pamoja na mchezaji mwingine wa Simba Shomari Kapombe

Chama alifunga bao pekee la Simba kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Vipers Fc uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa March 07 na Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
35m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
48m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’