Yanga - Simba - Horoya - Monastir

Horoya Ac, US Monastir zawasili Tanzania

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Mar 2023
Horoya Ac, US Monastir zawasili Tanzania

Klabu ya Horoya Ac ya Guinea na US Monastir ya Tunisia zimewasili nchini Alfajiri ya leo Ijumaa kuelekea mechi za michuano ya CAF dhidi ya Simba na Yanga

Kesho Jumamosi Horoya Ac watakuwa wageni wa Simba katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika

Simba inahitaji kushinda mchezo huo utakaopigwa saa 1 usiku ili kutinga robo fainali kwa mara ya tatu katika kipindi cha miaka mitano iliyopita

US Monastir wao watakuwa wageni wa Yanga katika mchezo wa kombe la Shirikisho ambao utapigwa Jumapili katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Mazingira ya mchezo huo hayatofautiana na ule wa Simba kwani Yanga inahitaji kushinda ili kutinga robo fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Baada ya kushiriki hatua ya makundi ymara mbili pasipo mafanikio, hii ni nafasi adimu kwa Yanga kutinga robo fainali kwa mara ya kwanza katika michuano hiyo

Mchezo huo pia utapigwa saa 1 usiku

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
2h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
2h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
2h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
6h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
9h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
10h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
10h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
11h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
12h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
13h ago
READ MORE β†’