Yanga

Hersi awaongoza mashabiki wa Yanga kuchangia damu

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Mar 2023
Hersi awaongoza mashabiki wa Yanga kuchangia damu

Rais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said leo amewaongoza wapenzi, wanachama na mashabiki wa Yanga katika zoezi la kuchangia Damu linaloendelea Makao Makuu ya klabu hiyo na Hospitali ya Mloganzila, jijini Dar es salaam

Yanga kwa kushirikiana na mpango wa Taifa wa damu salama Hospitali ya Mloganzila pamoja na Hospitali ya Mifupa MOI, waliandaa zoezi la uchangiaji damu kwa ajili ya kuimarisha benki ya damu kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya kuongezewa damu

Kwa wote wanaojitokeza kuchangia damu, Yanga inatoa zawadi ya jezi na tiketi kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya US Monastir ambao utapigwa Jumapili, March 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’