Prisons

Prisons yapiga hesabu kubaki Ligi Kuu

Joel JJ By Joel JJ
β€’
19 Mar 2023
Prisons yapiga hesabu kubaki Ligi Kuu

Klabu ya Prisons imejipambanua kuwa mechi dhidi ya Ruvu Shooting itakayochezwa Aprili 16, mwaka huu kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya ndiyo itaanza kuamua hatima yao ya kubaki katika Ligi Kuu au kushuka daraja

Ofisa Habari wa Prisons, Jackson Mwafulango, amesema wameandaa mikakati kabambe ya kuhakikisha wanashinda mechi hiyo.

Mwafulango alisema wanajua Ruvu Shooting haipo katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi, lakini watawasamehe kwa sababu nao wapo kwenye mkakati wa kuhakikisha timu yao inabaki Ligi Kuu.

"Prisons ni moja ya timu nzuri, lakini upepo mbaya ulipita kati na sasa timu inaonekana imekaa vyema, tunamheshimu Kocha Mbwana Makata na benchi lake la ufundi, tunaiheshimu Ruvu Shooting kama timu nzuri iliyokamilika ndani ya nje ya uwanja, lakini watatusamehe kwa sababu tunajua tukishinda mechi hiyo, itaturahisishia kazi kuelekea mechi zinazofuata," alisema kiongozi huyo.

Mwafulango alimsifu Kocha, Abdallah Mohamed 'Bares' kwa kuibadilisha timu hiyo ambayo sasa imerejesha matumaini ya kusalia katika Ligi Kuu Bara.

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
8h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
8h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
8h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
12h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
15h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
16h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
17h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
18h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
19h ago
READ MORE β†’