Simba

Chama, Kanoute wawania tuzo ya wiki CAF

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 Mar 2023
Chama, Kanoute wawania tuzo ya wiki CAF

Wachezaji wawili wa Simba Clatous Chama na Sadio Kanoute wameorodheshwa katika kinyan'ganyiro cha kuwania tuzo ya mchezaji bora wa wiki Ligi ya Mabingwa barani Afrika

Chama alifunga hat-trik katika mchezo wa raundi ya tano dhidi ya Horoya Ac huku kanoute akifunga mabao mawili

Wanachuana na Mahmoud Karhaba wa Al Ahly ambaye pia alifunga hat-trik katika mchezo dhidi ya Cotton Sport na Pecy Tau wa Al Ahly pia aliyefunga bao moja na kutoa pasi mbili za mabao katika mchezo huo

Chama alishinda tuzo hiyo katika mzunguuko wa nne na huenda akashinda tena kwa mara ya pili mfululizo

Kura zinapigwa kupitia ukurasa wa Twitter wa CAF CL

Katika kikosi cha wiki cha CAF, Simba imeingiza wachezaji wanne Jean Baleke na Shomari Kapombe wakiungana na Chama na Kanoute

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
4h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
4h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
5h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
8h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
12h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
12h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
13h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
14h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
14h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
15h ago
READ MORE β†’