Real Madrid wameanzisha tena 'Operesheni Haaland' kwa nia ya kumsajili mshambuliaji mahiri wa Norway Erling Haaland, 22, kutoka Manchester City mnamo 2024, wakati kipengele cha kutolewa katika mkataba wake cha hadi euro 240m (£212m) kitakapoanza kutumika. (AS – In Hispanic )
..... download Xtra 90 App



