Simba

Mfumo mpya umelipa Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
26 Mar 2023
Mfumo mpya umelipa Simba

Kocha Mkuu wa Simba Robertinho Oliveira amefichua kubadili mfumo wa uchezaji wa kikosi chake akiamini mfumo huo mpya unawawezesha kufunga mabao mengi

Wiki iliyopita Robertinho aliiongoza Simba kutinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya Horoya Ac

"Nafurahi muitikio wa wachezaji katika mfumo mpya wa uchezaji ni mzuri. Tumekuwa tukitengeneza nafasi nyingi lakini hapo awali tulikuwa hatufungi mabao mengi. Lakini katika mechi tatu zilizopita tumefanya vizuri"

"Tuna wachezaji wazuri pembeni Kapombe na Zimbwe ambao tunawatumia katika kushambulia. Tunaweka washambuliaji wawili kuhakikisha tunatumia vyema mipira ya krosi wanazopiga"

"Ni muhimu sana kutumia nafasi tunazotengeneza uwanjani ili na uhakika wa kushinda mechi," alisema Robertinho

Katika michezo minne iliyopita, Simba ilipachika mabao 12 pasipo kuruhusu wapinzani kutikisa nyavu zao

Kikosi kimerejea mazoezini kuanza maandalizi ya mchezo wa kukamilisha ratiba hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya Raja Casablanca. Mchezo huo utapigwa April 01 huko Morocco

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
3h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
4h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
5h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
6h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
6h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’