Tottenham

Spurs, Conte yametimia

Joel JJ By Joel JJ
β€’
27 Mar 2023
Spurs, Conte yametimia

Meneja Antonio Conte ameondoka Tottenham Hotspur kwa makubaliano baada ya kuiongoza kwa miezi 16

Conte aliwaita wachezaji wa Spurs 'wabinafsi' na kukosoa utamaduni wa klabu hiyo katika mkutano na waandishi wa habari baada ya kutoka sare ya hivi majuzi dhidi ya Southampton.

Tottenham wako katika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi lakini wako nje ya mashindano yote ya vikombe

Msaidizi wa Conte Cristian Stellini atakua kocha mkuu kwa msimu hadi mwishoni mwa msimu, huku kiungo wa zamani Ryan Mason akiwa Msaidizi wake

"Tumebakiza mechi 10 za Premier League na tunapigana mikononi mwetu kuwania nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa. Sote tunahitaji kuwa wamoja. Kila mmoja anapaswa kujituma ili kuhakikisha tunamaliza vyema msimu," alisema Daniel Levy

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
29m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
41m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’