Barcelona

Baba yake Ansu Fati amjia juu Xavi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
29 Mar 2023
Baba yake Ansu Fati amjia juu Xavi

Bori Fati ni baba mzazi wa mshambuliaji wa FC Barcelona Ansu Fati ambaye tangu arejee kutoka kwenye majeraha amekuwa na wakati mgumu wa kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza

Bori ameeleza masikitiko yake kwa kijana wake kutoaminiwa na kocha Xavi Hernandez wakati alipokuwa majeruhi ni Barcelona walioharakisha kumrejesha uwanjani

"Barcelona ilipokuwa mbovu zaidi kuliko ilivyo sasa, walimlazimisha Ansu kurejea kutoka kwenye majeraha ili kucheza. Walikuwa wakimtaka Ansu awafurahishe tena watu"

"Lakini sasa yuko fiti 100% na yuko tayari, hakuna anayemtaka. Muulizeni Xavi kwa nini hamchezeshi Ansu? mimi sina jibu lolote. Xavi anataka Ansu afanye kazi kwa bidii, na yuko hivyo lakini hapati nafasi"

"Mimi kama baba najisikia kukatishwa tamaa sana, mimi sina la kufanya ila ninasema tu, Xavi mpe fursa Ansu acheze"

"Nimezungumza na Xavi mara kadhaa, ni mtu mzuri, amemsaidia sana Ansu kimbinu, lakini sijui kwanini hampi nafasi," Bori alinukuliwa na mtandao wa GOAL

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
1m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
29m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’