Arsenal - Manchester United

Ferguson, Wenger waingia Hall of Fame Uingereza

Joel JJ By Joel JJ
β€’
29 Mar 2023
Ferguson, Wenger waingia Hall of Fame Uingereza

Sir Alex Ferguson na Arsene Wenger ndio mameneja wa kwanza kuingizwa kwenye Jumba la Umaarufu la Premier League

Makocha hao wawili mashuhuri wanasifika kwa wakati wao wakiwa na Manchester United na Arsenal, ambapo walishinda mataji mengi

Ferguson alishinda mataji 13 ya Ligi ya Premia katika miongo mitatu, Vikombe vitano vya FA, Vikombe vinne vya Ligi na Ligi ya Mabingwa mara mbili huku Wenger akinyanyua mataji matatu ya Ligi Kuu na saba ya FA.

Wakati wao, Manchester United na Arsenal zilikuwa na upinzani wa aina yake. Timu hizo zilipokutana ilikuwa moja ya mechi kivutio katika ligi ya Premia

"Mameneja mashuhuri Sir Alex Ferguson na Arsene Wenger leo wameingizwa kwenye Ukumbi wa Umaarufu wa Ligi ya Premia," taarifa kutoka kwa shirika hilo ilisema.

"Wawili hao waliunda historia ya kushangaza na Manchester United na Arsenal, wakishinda mataji 16 ya Ligi Kuu ya Uingereza huku wakianzisha moja ya wapinzani maarufu katika historia ya Ligi"

"The Hall of Fame inatambua na kusherehekea watu ambao wana rekodi ya kipekee ya mafanikio na wametoa mchango mkubwa kwa Ligi Kuu tangu kuanzishwa kwake 1992. Ni heshima ya juu zaidi ya mtu binafsi iliyotolewa na Ligi"

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
33m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
45m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’