De Gea agomea mkataba mpya Manchester United

Joel JJ By Joel JJ β€’ 29th March 2023


De Gea agomea mkataba mpya Manchester United

Mlinda Lango David De Gea amekataa ofa ya kwanza ya Manchester United ya mkataba mpya, lakini kutakuwa na awamu ya pili ya mazunumzo

Kwa mujibu wa Laurie Whitwell, David De Gea ametakiwa kupunguza mshahara wake ili aweze kusalia Manchester United

Hata hivyo mwenyewe anaona kiwango chake msimu huu bado kinamuweka kama mmoja wa wachezaji muhimu kwa Erik Ten Hag na malipo yanapaswa kufuatwa ipasavyo

Mkataba wake unoelekea ukingoni aliusaini mwaka 2019 akipokea mshahara wa £375,000 kwa wiki. Ndiye mchezaji anayelipwa fedha ndefu zaidi katika klabu ya Mancheset United


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.