Yanga

Yanga yakwama Dar kwa saa 12

Joel JJ By Joel JJ
β€’
30 Mar 2023
Yanga yakwama Dar kwa saa 12

Safari Yanga inakwenda Lubumbashi kumalizana na wapinzani wao TP Mazembe katika mchezo wa mwisho wa Makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika

Kikosi hicho kiliwasili Uwanja hapo majira ya saa 3:00 kwa safari hiyo ambayo awali ilikuwa ianze saa 5:00 asubuhi ikielekea Lubumbashi kupitia Ndola Zambia.

Hata hivyo muda huo ulipofika walipewa taarifa ya kwamba ndege yao itachelewa na kupangwa kuondoka saa 8:00 mchana lakini pia baadaye ukasogezwa tena mbele na kuambiwa wataondoka saa 11 jioni.

Safari hiyo ikapigwa tena 'kalenda' wakiambiwa muda mpya wa kuanza safari hiyo wakitumia Ndege ya Shirika la Tanzania kuwa itakuwa saa 1: 00 usiku lakini muda huo wakapokea tangazo jipya kuwa wataondoka saa 3:00 usiku wakitumia Ndege namba TC 213 sababu ikitajwa kuwa ni tatizo za kiufundi

Mwanaspoti

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
27m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
17h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’