Chelsea - International

Chelsea yamfuta kazi Potter

Joel JJ By Joel JJ
β€’
2 Apr 2023
Chelsea yamfuta kazi Potter

Chelsea imethibitisha kumfuta kazi Graham Potter kama meneja wa klabu hiyo

Kichapo cha 2-0 nyumbani dhidi ya Aston Villa, matokeo ambayo yanawaacha katika nafasi ya 11 kwenye jedwali, kwenye Uwanja wa Stamford Bridge siku ya Jumamosi ilithibitika kuwa mechi ya mwisho ya Potter

Bruno Saltor atachukua mikoba ya kuinoa timu hiyo kama kocha mkuu wa muda huku mechi inayofuata ya Chelsea ikiwakaribisha Liverpool Jumanne usiku.

Aidha, tangazo la kilabu lilipendekeza Potter anaweza kuchukua jukumu katika kuamua ni nani mrithi wake wa kudumu.

"Chelsea FC imetangaza kwamba Graham Potter ameondoka kwenye klabu. Graham amekubali kushirikiana na klabu ili kuwezesha mabadiliko ya haraka"

"Katika wakati wake na klabu, Graham ametupeleka robo fainali ya Ligi ya Mabingwa, ambapo tutamenyana na Real Madrid. Chelsea inapenda kumshukuru Graham kwa juhudi zake zote na mchango wake na kumtakia heri kwa siku zijazo," ilisema taarifa ya Chelsea

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
25m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
17h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’