Klabu ya Kagera Sugar imethibitisha kuvunja mkataba wa kiungo Abdulaziz Makame 'Bui' kwa makubaliano ya pande mbili
Makame amekosekana kwenye kikosi cha Kagera Sugar kwa miezi kadhaa mwenyewe akidai ni majeruhi lakini Kagera Sugar wakidai kutokuwa na taarifa za alipo




