Chelsea - International

Lampard aanza kuinoa Chelsea

Joel JJ By Joel JJ
β€’
7 Apr 2023
Lampard aanza kuinoa Chelsea

Jana Chelsea walithibitisha kurejea kwa Frank Lampard kama kocha wa muda

Gwiji huyo wa Stamford Bridge amerejea na The Blues baada ya kutimuliwa kwa Graham Potter zaidi ya miaka miwili tangu yeye mwenyewe atimuliwe kama meneja

Lampard (44) alianza majukumu yake siku jana Alhamisi na atakuwa dimbani Jumamosi dhidi ya Wolves

Wamiliki wa pamoja wa Chelsea Todd Boehly na Behdad Eghbali walisema katika taarifa:

"Tuna furaha kumkaribisha Frank tena Stamford Bridge. Frank ni maarufu kwenye Premier League na gwiji katika klabu hii"

"Tunapoendelea na mchakato wa kusaka mkuu wa kudumu, tunataka kuipa klabu na mashabiki wetu mpango ulio wazi na thabiti kwa muda uliosalia wa msimu"

"Tunataka kujipa kila nafasi ya kufaulu na Frank ana sifa zote tunazohitaji ili kutufikisha kwenye mstari wa kumalizia"

"Tuna mchezo muhimu dhidi ya Wolves Jumamosi na kisha tutaelekeza mawazo yetu kwenye robo fainali ya Ligi ya Mabingwa huko Madrid wiki ijayo. Sote tutampa Frank msaada wetu kamili tunapolenga kupata matokeo bora kutoka kwa michezo yetu yote iliyosalia"

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
27m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
17h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’