Napoli - International

Napoli yakaribia ubingwa Serie A

Joel JJ By Joel JJ
β€’
8 Apr 2023
Napoli yakaribia ubingwa Serie A

Napoli wanakaribia kutwaa taji lao la kwanza la Serie A ndani ya miaka 33 baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Lecce uliowafanya waongoze ligi kwa pointi 19 dhidi ya Lazio inayoshika nafasi ya pili.

Bao la kichwa la Giovanni di Lorenzo lilianza kuifungia Napoli kabla ya Federico di Francesco kusawazisha baada ya mapumziko.

Lakini Napoli walipata bao la kujifunga wakati beki Antonino Gallo pasi yale ya kifua kuteleza katika mikono ya kipa Wladimiro Falcone

Napoli wametokea kupokea kipigo kizito cha mabao 4-0 Jumapili iliyopita dhidi ya AC Milan

Napoli inaongoza Serie A ikiwa na alama 74 baada ya mechi 29 ikifuatiwa na Lazio yenye alama 55 baada ya mechi 28

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
27m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
17h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’